Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii Ikraah: Nikikutana na Diamond nitashtuka

Msanii Ikraah: Nikikutana Na Diamond Nitashtuka Msanii Ikraah: Nikikutana na Diamond nitashtuka

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii kinda na mpya kwenye kiwanda cha burudani nchini Ikraah ameweka wazi hali atakayokutana nayo endapo akikutana na Diamond Platnumz.

Ikraah ambaye ni mmoja kati ya wasanii wanaosimamiwa na MkubwaFella ameeleza hayo akiwa kwenye #Mashamsham ambapo ametambulisha wimbo wake mpya.

"Nikikutana na Diamond nitashtuka, ni msanii anayeimba vizuri natamani siku moja nikutane naye," alisem Ikraah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live