Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii Bongo awapiga dongo wasanii waliotoboa Pua

Loui Msanii Loui

Sat, 4 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Loui amekataa kabisa urembo wa kutoboa pua kama wafanyavyo wasanii wengi wa kiume nchini.

"Usela wote nitafanya ila sio kutoboa pua" ameandika @itslouiagain

Wasanii baadhi waliotoboa pua hapa nchini ni pamoja na Diamond Platnumz, Harmonize, Marioo, Chid Benzi na wengineo.

Kwa upande wako unavyoona, Je ni sawa msanii au mtoto wa kiume kutoboa pua kama sehemu ya urembo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live