Mwanamuziki Staa kutoka nchini Kenya, Bahati, ameweka picha hiyo yenye tafsiri ya kuomboleza, ambapo inaashiria kwamba yeye ndiye yupo ndani ya hilo jeneza huku picha yake ya maombolezo ikiwa pembezoni mwa jeneza hilo kisha ameweka caption inayosema "Unarudi Lini?"
Mwanamuziki Staa kutoka nchini Kenya, Bahati, ameweka picha hiyo yenye tafsiri ya kuomboleza, ambapo inaashiria kwamba yeye ndiye yupo ndani ya hilo jeneza huku picha yake ya maombolezo ikiwa pembezoni mwa jeneza hilo kisha ameweka caption inayosema "Unarudi Lini?" Haijafahamika mara moja kama ni project ya wimbo mpya au laah lakini picha hiyo imewashtua watu wengi huku wengine wakimtaka aifute kutokana na kwamba haina ujumbe mzuri na haileti maana nzuri kwake.