Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii B2K alianzia kwenye kuuza nyanya

Msanii B2K Alianzia Kwenye Kuuza Nyanya Msanii B2K alianzia kwenye kuuza nyanya

Thu, 12 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, B2k Mnyama ameeleza kuwa biashara yake ya nyanya ambayo alikuwa anaifanya awali kabla ya kungia kwenye muziki kwa sasa haina nafasi.

B2k ameeleza kuwa kwa sasa anataka angaalie muziki wake kwanza baadaye ndiyo atarudi kwenye biashara yake ya zamani kwa sabababu ndiyo ilimpatia nguvu ya kuingia kwenye muziki.

B2k kwa sasa anatamba na wimbo wake ambao unafanya poa katika mitandao ya kijamii huku ikiwa nafasi ya 4 kwenye mtandao wa YouTube.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live