Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msami Baby afunguka kumlisha Barakah The Prince

Msamiii Msami Baby afunguka kumlisha Barakah The Prince

Thu, 5 Aug 2021 Chanzo: eatv.tv

King of dance floor Bongo Msami Baby amesema msanii Barakah The Prince hana pesa za kumlipa kwani yeye ndio huwa anamsaidia pale anapokuwa amekwamba kwenye mishe za kimaisha kama nauli na pesa ya kula.

Submitted by Shaluwa Anta on Alhamisi , 5th Aug , 2021 Picha ya Msami Baby kulia, kushoto ni Barakah The Prince

"Barakah hana pesa ya kunilipa, wakati anaanza kuimba mimi nishaacha kucheza nafundisha na umaarufu ninao, yule ni kijana wangu wakati mwingine hana pesa ya kula namsaidia, namuwezesha kwenye bodaboda na namtumia miamala ili kumsave" amesema Msami Baby

Wawili hao wamekuwa wakitupiana maneno mitandaoni kuhusu madai ya kushuka kwa muziki Bongo, zaidi mtazame hapo chini kwenye video.  

Chanzo: eatv.tv