Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Msaidizi wa Membe hajatekwa yupo mikononi mwa Polisi" Mambosasa

Mambosasa 660x395 "Msaidizi wa Membe hajatekwa yupo mikononi mwa Polisi" Mambosasa

Thu, 17 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Leo September 17, 2020 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, amesema Jerome Luanda ambaye ni Msaidizi wa Bernard Membe yuko mikononi mwa Polisi na ni mzima wa afya.

Septemba 16, Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Bernard Membe aliandika katika mtandao wa kijamii (Twitter) kwamba Msaidizi wake ametekwa na kuwataka wahusika wamrudishe akiwa mzima wa afya bila mchubuko.

Membe alidai Msaidizi wake alitekwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, siku aliyokuwa akirejea nchini kutoka Dubai.

DUUH! KANYE WEST AKOJOLEA TUZO YA GRAMMY “SITOACHA”

Chanzo: millardayo.com