Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mrembo ammwagia sifa Beka Flavour!

Mrembo Wa Beka Mrembo ammwagia sifa Beka Flavour!

Fri, 26 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo ambaye ndiye anayempa usingizi staa wa Bongo Fleva Beka Flavour, Dolly Restie amesema msanii huyo ana sifa zote anazozihitaji.

Mrembo huyo amesema hayo hivi karibuni kwenye uzinduzi wa albamu ya Barnaba ya Love Sound Different katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar ambapo mrembo huyo alisema Beka anafaa kuwa mume wake kwani anafanya kazi zake vizuri.

“He is gentlemen, ni mstarabu, anajiheshimu, anafanya kazi zake vizuri na anafaa kuwa mume,” alisema Dolly huku Beka naye alipopewa nafasi ya kuzungumza, alisema mrembo wake huyo naye anafaa kuwa mke.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live