Mrembo na mfanyabiashara Niffer ameweka wazi kuwa anatamani kurudi utotoni hiyo ni baada ya kukutana na mambo mengi ya duniani
"Nilipokua mdogo niltaman sana niwe mkubwa niishi peke angu, niwe na uhuru wa kufanya kila nachotaka , nitumie simu kwa uhuru, nitoke navotaka, nirud nyumbani mda naotaka, yan niwe na maamuzi yangu binafsi
Lakin saivi nataman ningebaki utotoni kwanza kidogo, mama aendelee kuwa mwongozo wa kila kitu, aendele kunikataza hata kutoka nje i really wish i could be a kid again , i just really wish i was still a baby ???? mama.niffer i love you mom and i need you the most❤️ " ameandika Niffer.