Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mrembo Nai: Ukinihitaji uwe na milioni 10

Nai Official Mrembo Nai: Ukinihitaji uwe na milioni 10

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo na Mfanyabiashara @officiall_nai amesema kuwa kwa sasa amesitisha kutokea kama mrembo kwenye video za wasanii ila kama akitokea msanii akamhitaji acheze kwenye video yake basi amuandalie dau la Milioni 10

Mrembo na Mfanyabiashara @officiall_nai amesema kuwa kwa sasa amesitisha kutokea kama mrembo kwenye video za wasanii ila kama akitokea msanii akamhitaji acheze kwenye video yake basi amuandalie dau la Milioni 10 "Kwasasa nimesimama kidogo kuhusika kwenye video za wasanii ila kama kuna msanii atanihitaji basi nitafanya kwa kuanzia Milioni 10 hicho ndo kiasi changu" amesema Nai

Chanzo: www.tanzaniaweb.live