Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mr Pimbi: Kiba ameumaliza mwenzo, anaimba kizamani

Images   2023 01 01T110944 Mr Pimbi: Kiba ameumaliza mwenzo, anaimba kizamani

Mon, 2 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji na Chawa Chipukizi Aliesumbua Sana Kwa Mwaka Uliopita wa 2022 Maarufu Kama Mr. Pimbi Anasema Alikiba Bado Anaimba Manyimbo Yake ya Kizamani Kama MACMUGA Akizani Wabongo Bado Watazipenda Wakati Style Hiyo ya Uimbaji Kwasasa Haipendwi Kama Zamani.

Mr. Pimbi Anasema Ni Kweli Hakuna Msanii Anaependa Kuwekwa Kwenye Nafasi Mbovu Lakini Alikiba Anapaswa Kujiuliza Kwanii Miaka ya Nyuma Alikuwa Hawekwi Kwenye Hizo Nafasi Mbovu Nikwasababu Alikuwa Anafanya Vizuri Lakini Kwasasa Imebaki Story Tu Akubali Kuwa Mwendo Ameumaliza

Na Kama Anataka Kufanya Vizuri Basi Abadilishe Style yake ya Kizamani ya Uimbaji ili Aendane na Ushindani wa Sasa. Kwamfano, Lody Music Ameachia Ngoma Kama KUBALI Ambayo Kwa Mwaka 2022 Hakuna Ngoma Yoyote ya Alikiba inaweza Kuifikia KUBALI.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live