Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mr Giba: Nimetumia Sh milioni 2 kutengeneza nywele zangu

Mr Giba Dsd Mr Giba Dsd

Sat, 29 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Mr Giba Dsd kutoka Burundi mwenye maskani yake jijini Nairobi nchini Kenya kwa sasa, amesema linapokuja suala la kupendeza kama msanii hataki mchezo kabisa lazima pesa itumike kwani nywele zake tu katengeneza kwa Tsh Milioni 2.

Mkali huyo anayefanya vizuri na ngoma yake mpya iliyotoka siku tatu zilizopita ya #Poa amesema msanii unatakiwa upendeze kila wakati kwa kuwa unatazamwa na watu wengi.

Mr Giba Dsd ambaye yupo vizuri kwenye kuimba mitindo mbalimbali ya muziki kama (Reggae, Zouk, Afrobeat, Rumba n.k) ameachia video tayari ambapo unaweza kuitazama kupitia link hii namna alivyofanya vitu vikubwa ndani yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live