Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mr. Eazi ajiachia na Diddy, Lupita, Chadwick na mastaa wengine katika Vanity Fair Oscar Party

4301 Ez 1 TZW

Sat, 10 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Nigeria, Mr. Eazi usiku wa jana alijumuika na mastaa mbalimbali katika halfa fupi ya Vanity Fair Oscar Party iliyofanyika Hollywood .



Hit maker huyo wa ‘Pour Me Water’ hakujivunga kwani alipata nafasi ya kukutana na mastaa kibao usiku huo kama vile:- Diddy, Tyler Perry, Donald Glover, bila kusahau waigizaji wa filamu ya ‘Black Panther’, Chadwick Boseman, Lupita Nyong’o, Winston Duke na Daniel Kaluuya ambapo alipiganao picha.



Chanzo: bongo5.com