Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mr Blue na G Nako mabingwa wa Collabo

WhatsApp Image 2021 05 25 At 10.26.14.jpeg Mr Blue na G Nako mabingwa wa Collabo

Tue, 25 May 2021 Chanzo: eatv.tv

Kwa kipindi cha mwaka 2020 wasanii G nako na Mr Blue ndio walioshirikishwa zaidi kwenye kazi za wasanii na makundi mbalimbali Tanzania, huku kila mmoja akiwa na wastani wa nyimbo zisizopungua tano alizoshirikishwa.

Tazama list hapo chini ya baadhi ya nyimbo ambazo wasanii hawa wameshirikishwa kwa mwaka 2020 na kwenye mabano ni jina la msanii anayemiliki wimbo;

G Nako amesikika kwenye;

1.Alfa na Omega (Gasto Gration) 2.Gusanisha (Maua Sama) 3.Muonjeshe (Rj The Dj) 4.Viuno (Shilole) 5.Mpango (Ibra Da Hustler) 6.Iyo Iyo (Matonya). 7.Finally (Emergency )     8.Mateka (Yj)

Mr Blue amesikika kwenye;

1.Raha (Zee) 2.Uswazi (Bando) 3. Mama la Mama (Rayvanny) 4.Watani wa Jadi (Rostam) 5.Inanimaliza (Harminize) 6. Nafuu Wewe (Tommy Thommass) 7.Kimoko (Candle)

Chanzo: eatv.tv