Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mr Blue : Niliumia kuambiwa nimekufa

Pombe Na Muziki Mr Blue Mr Blue : Niliumia kuambiwa nimekufa

Fri, 30 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Babylon Bizzy Mr Blue amefunguka kupitia The Switch kuwa skendo iliyowahi kumshtua sana ni ile ya kutangaziwa kuwa amekufa.

“Walitangaza kuwa Mimi NIMEKUFA, ilinitisha sana ile skendo, nikaona imekuwaje mpaka wanataka waniue Sasa, yaani wamesema mpaka waniue.

“Ilikuwa kama miaka 10 iliyopita nilikua narudi kutoka Kenya, ilitangazwa kuwa nimepigwa bastola Kinondoni. Mama aliangaika halafu kwenye simu hanipati, Sasa wakati Narudi namkuta mama yupo karibu na nyumbani anatembea kama mtu aliyekata tamaa.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live