Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mr. Blue: Miaka 20 sina hata tuzo

Blue Pic Data Mr. Blue

Thu, 29 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii mkongwe wa hip hop Herry Samir 'Mr. Blue' amesema licha ya yeye kutokuwa na tuzo katika miaka yote 20 kwenye muziki wake wa Bongo Fleva lakini yeye bado yeye ndie msanii watu wanamuhitaji.

"Mimi ndie msanii pekee ambaye sina tuzo na sio kitu cha siri kila siku naongelea sema nashukuru Mungu watu wanasema bado wananihitaji.”

Kwa upande wake, msanii nguli wa Bongo Fleva, Q Chief amemjibu kuwa yeye anazo 3 ila haoni umuhimu wake zimeishia kupata kutu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live