Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mpwa wa Michael Jackson ala shavu kuigiza filamu ya Michael Jackson

Wacko Jacjo Mpwa wa Michael Jackson ala shavu kuigiza filamu ya Michael Jackson

Tue, 31 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Star wa muziki na mpwa wa marehemu mfalme wa muziki wa pop Michael Jackson, Jaafar Jackson (26) ametajwa na Lionsgate kuwa ndie atakae cheza kama Michael Jackson kwenye Documentary ya maisha ya Michael Jackson ambayo imepewa jina la "LIFE OF KING OF POP"

Director wa documentary hiyo Antoine Fuqua amethibitisha hilo baada ya kushare kwenye kurasa wake wa instagram

Jaafar Jackson ni mtoto wa kaka yake Michael Jackson ambae pia ni mwanamuziki na mtunzi pia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live