Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mpango Mpya wa Diamond Platnumz Kenya kuhusu WCB

Fri, 23 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Baada ya record label ya WCB kuwa rasmi Tanzania na kuhusisha wasanii wachache kutokea nchini akiwemo Rich Mavoko, Mbosso, RayVanny, Queen Darleen, Harmonize na CEO mwenyewe Diamond Platnumz.

Hii ni rasmi kutoka kwa Diamond Platnumz kuwa Record Label ya WCB itakuwa na tawi jipya nchini Kenya ambapo litahitaji Wasanii wenye vipaji kutokea Kenya ili kuinua vipaji vipya.



Kama unavyofaham mwaka huu @wcb_wasafi tunafungua Tawi jipya nchini Kenya, Maalum kwaajili ya kuendelea kunyanyua vijana wenzetu wenye Vipaji tokea mtaani.. tafadhali nisaidie kuwatag vijana wote wenye Vipaji Kenya, akianziwa na huyu”

Alichozungumza Riyama Ally na Mume wake kuhusu siku ya Valentines Day



 

 

Chanzo: millardayo.com