Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mpambano wa Diamond na Majizzo una faida?

Diamond Majizzo Mpambano wa Diamond na Majizzo

Tue, 25 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mkurugenzi wa EFM Majizzo kutangaza kuwa kwenye media yake watangazaji wanne wameondoka kwa wakati mmoja ambao ni Braka Maulid Kitenge, Gerald Hando, B Dozen na Oscar Oscra unahisi itaathi ufannisi wa kazi?

Mpaka sasa Kitenge na Hando wamejiunga na Wasafi media chini ya Diamond huku B Dozen na Oscar wakiwa bado kimya wakiwa nje ya nchi.

Zipo tetesi kuwa B Dozen huenda akarejea Clouds media huku Oscar Oscar akidaiwa kujiunga na Wasafi Media.

Mvutano kati ya wakurugenzi wa media hizi mbili kubwa unakuza tasnia ya habari au unaharibu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live