Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mpaka Raha, Haji Manara na mkewe wakiwa Honeymoon "sio lazima uende Dubai"

Video Archive
Wed, 16 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

NI Headlines za Afisa habari wa Simba SC Haji Manara ambae time hii yuko mapumzikoni na mkewe Naheeda, sasa nimekusogezea hii video ujionee alichozungumza

Ni kuamua tu wala hakuna cha kuhitaji nguvu nyingi sana ni kujipanga kwani mnapoamua kuoana ni jambo la Mungu na hapa tumejifunza vitu vingi sana katika hifadhi hii na sio lazima uende Dubai wala Paris‘- Haji Manara

LOVE YA NGUVU.. MAUA SAMA AWAFANYIA SHOPPING YA SIKUKUU WATOTO KUMI, WAZAZI WAFUNGUKA

Chanzo: millardayo.com