Nchini Uganda na Afrika Mashariki kwa ujumla kumetawaliwa na majonzi makubwa kufuatia kifo cha mwanamuziki wa Kundi la Goodlyfe, Mowzey Radio.
Muimbaji huyo alifariki asubuhi ya leo katika hospitali ya Case iliyopo nchini humo baada ya kuugua kwa muda wa wiki moja ambapo kwa mujibu wa mtandao wa New Vision umedai muimbaji huyo alishambuliwa kwenye baa moja nchini humo.
Mama wa mwimbaji huyo, Jane Kasubo amesema mtoto wake alikuwa mkarimu na mwenye kipaji nchini humo
“My son has been everything to me. He always gave me even the little he had. Mowzey Radio always took care of his sistsers,” she said.
“However much others knew him as a chaotic man, I knew him as a simple, humble and talented son,” Kasubo said.
“My son paid school fees for one of his sisters until she graduated recently. He had very many friends. I am left with nothing.”
Kila mmoja ameguswa na kifo hicho akiwemo rais wa nchini hiyo, Yoweri Museven.