Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Montana apewa pundamilia kama zawadi

Montana F935e9eab.jpeg Montana apewa pundamilia kama zawadi

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, French Montana amekabidhiwa mnyama aina ya Pundamilia kama zawadi katika siku yake ya kuzaliwa.

Montana amepewa zawadi hiyo na marafiki zake katika siku yake ya kuzaliwa ambapo ametimiza miaka 39.

Rapa huyo anatamba na vibao vyake kama ‘Unforgettable’, ‘Hurtin' Me’ ‘No Stylist’ na nyinginezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live