Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Moni Centrozone atangaza kuachana na muziki

Moni Centrozone Ft One Six   SHUKA LA MASAI Djkibinyoo Moni Centrozone atangaza kuachana na muziki

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii maarufu wa muziki wa rap nchini Tanzania, Awadhi Chami anafahamika zaidi kama Moni Centrozone ametangaza kuachana na kazi ya muziki mara tu atakapoitoa Album yake ya mwisho.

Moni ambaye anatokea Kanda ya Kati nikimanisha Dodoma, amethibitisha hilo kupitia WhatsApp status yake kwa kuandika maneno haya;

"Album moja kabla sijastaafu muziki rasmi. Imekuwa ni safari ndedu tangu nilipokuwa mtoto, nimeuweka mji wangu Kwenye Ramani," ameandika Moni Centrozone.

Je, Unatamani Moni Centrozone aache muziki?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live