Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Moni Centrozone achafukwa, awatolea povu mapromota

Moni Centrozone Ft One Six   SHUKA LA MASAI Djkibinyoo Moni Centrozone

Mon, 29 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa @moni_centrozone amewachana ukweli wadau wa mziki na mapromota kuwalipa pesa nzuri wasanii kwenye shows zao na sio kufanya kwa sababu ya vibe.

"Ifike mahala wadau wajue kuwa suala la kuua au kukutana na vibe tushakutana nazo sana, sasa hivi tunaombwa tulipwe vizuri hatutaki vibe, nyumbani hawali vibe wanataka pesa"

"Wale madalali wa muziki naomba tuheshimiane mkiwa mnapiga simu zenu za vibe na kusapoti, hakuna mtu anayetaka kusindikza wenzie kwenye utajiri, tushajitoa sana ni muda wetu wa kulipwa hela nzuri especially kwenye rap music" - ameandika @moni_centrozone.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live