Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mobetto na Samatta wateuliwa Mabalozi wa Kodi

SH Hamisa & Samatta

Wed, 23 Jun 2021 Chanzo: eatv.tv

Waziri wa fedha na mipango nchini, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua, mwanamitindo Hamisa Mobetto , mchezaji wa mpira wa miguu Mbwana Samatta na mchambuzi wa soka Edo Kumwembe.

Submitted by Telesphory on Jumanne , 22nd Jun , 2021 Pichani Hamisa Mobetto na Mbwana Samatta

Kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi, huku lengo likiwa ni kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.

Chanzo: eatv.tv