Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mobetto ashindwa kujizuia mahaba kwa Alikiba, Marioo

Marioo Kiba Mobetto Mobetto ashindwa kujizuia mahaba kwa Alikiba, Marioo

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameweka wazi kuwa anapenda wimbo wa wasanii wa Bongo Fleva, Alikiba 'King Kiba' na Marioo.

Kupitia mtandao wa instagram ametaja orodha ya nyimbo na wasanii anaowakubali.

"Napenda sana wimbo wa Alikiba na Marioo unaoitwa 'I love you' naupenda sana upo kwenye tano bora zangu," amesema Hamisa Mobetto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: