Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mobetto aonesha mahaba laivu kwa bwana'ke, ampa ujumbe huu...

Mobetto Aonesha Mahaba Laivu Kwa Bwana'ke, Ampa Ujumbe Mobetto aonesha mahaba laivu kwa bwana'ke, ampa ujumbe huu...

Fri, 25 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mapenzi ya mbali yanamtesa Mwanamitindo Hamisa Mobetto kwani tayari kammiss mpenzi wake Kevin Sowax.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa Insta Story, Mobetto ameandika "I miss my man Kevin Sowax come get me".

Ambapo Bwana wake huyo alirepost akimjibu kwamba "I miss you more than words can say."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live