Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mobetto aomba ushirikiano kusaidia Watoto

Hamisa Watoto Mobetto aomba ushirikiano kusaidia Watoto

Tue, 29 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo Hamisa Mobetto, ikiwa imepita siku moja tangu afike kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya saratani, mwanadada huyo aomba watu kushirikiana kuchangia wototo hao.

Mrembo Hamisa Mobetto, ikiwa imepita siku moja tangu afike kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya saratani, mwanadada huyo aomba watu kushirikiana kuchangia wototo hao. Hamisa siku ya jana akishirikiana na mpenzi wake walifanikiwa kutoa misaada ikiwemo kiasi cha pesa, hivyo basi amedai kuwa kiwango cha matibabu kwa mtoto mmoja ni Shilingi 216,000, hivyo ameomba watu wajitokeze kutoa misaada ili kuweka tabasamu kwa watoto hao wanaopambana na ‘kansa’

Chanzo: www.tanzaniaweb.live