Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mobetto amgomea mama yake kuolewa na kibenteni

Mobetto Mamas Mobetto amgomea mama yake kuolewa na kibenteni

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamitindo Hamisa Mobetto amesema yupo tayari mama yake kuolewa tena ila huyo mwanaume asiwe Kibenteni.

Mobetto ambaye ni mtoto pekee kwa mama yake, amesema kuwa iwapo mama yake atamletea kibenteni basi hatoweza kuishi naye.

"Inategemea na mtu wa aina gani kusema kweli, sawa tunajali furaha lakini inabidi kwanza nimfanyie interview nijue. Akiniletea mimi kibenteni, sitaweza," amesema Hamisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live