Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mobeto na Wema Sepetu ngoma droo

Webssss Mobeto na Wema Sepetu ngoma droo

Fri, 14 Oct 2022 Chanzo: Eatv

Mastaa wa filamu nchini Wema Sepetu na Hamisa Mobetto wamekabana koo kuwa wasanii wa kwanza wa kike kufikisha wafuasi "Followers" Milioni 10 katika mtandao wa kijamii wa Instagram.

Wema Sepetu ndio alikuwa wa kwanza kufikisha wafuasi hao siku za hivi karibuni kisha kufuatiwa na Hamisa Mobetto siku ya Oktoba 13, 2022.

Kwa Afrika Mashakiriki mastaa watatu wanaoongoza kuwa na wafuasi wengi mtandao wa Instagram ni Zari The Boss Lady akiwa na watu Milioni 11, Wema Sepetu na Hamisa Mobetto wote wana Milioni 10.  

Chanzo: Eatv