Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mobeto anatengeneza mkwanja tu huko Marekani

IMG 20220326 WA0022 Mobeto

Sat, 26 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muonekano wa mwanamitindo na msanii maarufu Bongo, Hamisa Mobetto ambaye yupo nchini Marekani kwa wiki kadhaa sasa akifanya shughuli ya matangazo na Kampuni inayotengeneza kinywaji aina ya Belaire.

Ifahamike kuwa, Mobeto amekuwa miongoni mwa mastaa wa kike nchini ambao wanaongoza kwa sasa kwa kupata endorsements kubwa za matangazo Afrika na dunia nzima kwa ujumla.

Pichani ni Mobeto akishoot tangazo la Belaire kwenye makao makuu ya kampuni hiyo huko New York nchini Marekani.

Ikumbukwe kuwa, Belaire wamekuwa wakifanya kazi na wasanii wakubwa duniani akiwemo Rick Ross na kwa Bongo waliwahi kufanya na Diamond Platnumz ambaye ni mzazi mwenzake na Mobeto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live