Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Music: Baba Levo alistahili kipigo

Mo Music: Baba Levo Alistahili Kipigo Mo Music: Baba Levo alistahili kipigo

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mo Music ameeleza kuwa Baba Levo alistahili kupigwa na Harmonize, huku akidai kuwa hata angekuwa yeye angefanya hivyo hivyo.

Mo ameyasema hayo kupitia mahojiano na moja ya chombo cha habari nchini kwa kueeleza kuwa inauma sana mtu anapokusema vibaya katika utafutaji wako bila kujali changamoto unazopitia, ambapo alidai kuwa Harmonize alikuwa sahihi kumpiga Baba Levo.

Ikumbukwe kuwa week iliyopita Baba Levo ‘aliposti’ katika ukurasa wake wa Instagram akidai ameshambuliwa na Harmonize bila kueleza sababu ya shambulio hilo na amedai kuwa kwasasa kesi hiyo iko polisi.

Kufuatiwa na tukio hilo mwanamuziki Harmonize hajazungumza chochote mpaka sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live