Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mlinzi wa marehemu Rapa AKA afunguka mapya

Aka Dead Mds Mlinzi wa marehemu Rapa AKA afunguka mapya

Fri, 24 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Marehemu rapa #AKA , #AnwarKhan amefunguka kuwa siku ambayo Rapa huyo ameuawa usalama wake ulikuwa ni Mdogo sana katika Mgahawa wa Mkahawa wa Wish.

#Dogg anasema kuwa siku hiyo angekuwa na Rapa huyo asingemruhusu kwenda katika Mgahawa huo alipokuwa amealikwa kwani haikuwa ndani ya ratiba yao hivyo waliompeleka hawakufuata itifaki na angekuwepo basi isingevunjwa.

"Hakuna harakati za ziada upande. Nisipokuwepo, sawa, itifaki ilivunjwa. Kiernan aliitwa na kualikwa kwenda Florida Road, Wish, ambayo alikubali na akaenda. Ningekuwa huko basi itifaki isingevunjwa," alisema #ANWAR.

#AKA alipigwa risasi nje ya mkahawa wa Wish kwenye Barabara ya Florida huko Durban, Afrika kusini mwezi Februari.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live