Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mlinzi wa Trey Songz atupwa jela kwa kumshambulia shabiki

IMG 6188.jpeg Mlinzi wa Trey Songz atupwa jela kwa kumshambulia shabiki

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodyguard wa mwanamuziki wa R&B kutoka nchini Marekani Trey Songz , Cornell Whitfield amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kumpiga shabiki nchini Dubai.

Inaelezwa kuwa mlinzi huyo alimpiga shabiki huyo baada ya kutaka kumdhuru mwimbaji #Trey mwezi Machi walipokuwa hotelini nchini Dubai.

Aidha kufuatia tukio hilo baadhi ya watu mbalimbali akiwemo #Tiny ameonekana akihamasisha watu kumchangia ili aweze kutoka gerezani kwa dhamana ambapo inatakiwa dola 60k.

Ikumbukwe mlizi huyo aliwahi kufanya kazi na mastaa mbalimbali kama vile #LilKim, #TrevonDigg na mwengineo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live