Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mlinzi nyumbani kwa Drake ajeruhiwa kwa risasi

Sd Drake Mlinzi nyumbani kwa Drake ajeruhiwa kwa risasi

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi (Security Guard) wa nyumba ya rapa Drake, amejeruhiwa na kukimbizwa hospitali baada ya shambulio la risasi lililoripotiwa kutokea nje ya nyumba ya rapa huyo mapema leo mjini Toronto, Canada.

Mlinzi (Security Guard) wa nyumba ya rapa Drake, amejeruhiwa na kukimbizwa hospitali baada ya shambulio la risasi lililoripotiwa kutokea nje ya nyumba ya rapa huyo mapema leo mjini Toronto, Canada. Polisi wa Toronto walifanya uchunguzi juu ya tukio hilo ambapo imebainika kweli majeruhi huyo ni mlinzi wa Drake na inadaiwa Wakati tukio hilo linatokea Drake hakuwepo nyumbani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live