Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mlela: Ndoa sio kipaumbele, naweza nisioe kabisa!

Mlela Mlela: Ndoa sio kipaumbele, naweza nisioe kabisa!

Sun, 9 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji mkongwe Bongo, Yusuf Mlela amesema kwenye maisha yake, suala la kufunga ndoa hajalipa kipaumbele.

Mlela ameyasema hayao alipokuwa akifanya mahojiano na vyombo vya habari vya mitandaoni ambapo alisema, anapenda kuwa na Amani kwenye maisha yake ndio maana haifikirii ndoa.

“Kuingia kwenye ndoa sio jambo dogo, mimi sijalipa kipaumbele maana kumpata mtu sahihi sio kazi ndogo hivyo nimeamua kutoifikiria sana, naweza hata nisioe sababu napenda furaha,” alisema Mlela.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live