Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkubwa Fella ashtushwa na taarifa za Aslay kuachana na mkewe ‘mtoto kakua, sijapata taarifa’ (+video)

Video Archive
Mon, 11 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Mkurugenzi wa kundi la Yamoto Band na Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella ameshtushwa na taarifa za msanii wa muziki, Aslay kuachana na mzazi mwenzie.



Mkubwa Fella amedai kuwa hakupata taarifa hizo moja kwa moja bali aliziona mtandaoni na kama ni kweli basi anasubiri apigiwe simu na wahusika ili aweze kusuruhisha.

Loading...
Chanzo: bongo5.com