Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkubwa Fela afunguka Diamond kumuoa Zuchu

DIAMOND ZUCHU TENA.png Diamond na Zuchu

Sat, 23 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkubwa Fella; ni mmoja wa mameneja wa msanii Diamond Platnumz ambaye amefunguka kuhusu jamaa huyo kuwa na uwezekano wa kumuoa msanii wake, Zuchu.

Akifunguka kwenye Kipindi cha Bongo 255 cha Global Radio leo Ijumaa Julai 22, 2022, Mkubwa Fela amesema;

“Mimi naweza kusema kwamba hakuna ukweli mpaka leo, ila watu wanaendelea wenyewe kuona kuna vitu vinaendelea kati yao, Zuchu ni msanii wake na likitokea lolote watu watajua tu…”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live