Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkongwe wa Filamu kizimbani kwa kesi ya mauaji

Alec Baldwin Charges For Death Alec Baldwin

Fri, 20 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji na Mtayarishaji maarufu wa filamu Alec Baldwin atafunguliwa mashtaka ya kuua bila kukusudia kwenye tukio lililochukua uhai wa Mwanamama mpiga picha Halyna Hutchins wakati wa utengenezaji wa filamu ambapo aliuawa kwa bastola ambayo haikupaswa kujazwa risasi za moto mnamo Oktoba 21, 2021.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live