Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkishindwa kunisaidia, wasaidieni watoto wangu - Chid

Chid Benz Hds Mkishindwa kunisaidia, wasaidieni watoto wangu - Chid

Sat, 16 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki kutoka Tanzania maarufu kama Chid Benz amefunguka kuhusiana na wasanii ambao alishawahi kuwasaidia kipindi alivyokuwa kwenye muziki na kwasasa tayari washakuwa wasanii wakubwa na hawataki kumsaidia.

Msanii wa muziki kutoka Tanzania maarufu kama Chid Benz amefunguka kuhusiana na wasanii ambao alishawahi kuwasaidia kipindi alivyokuwa kwenye muziki na kwasasa tayari washakuwa wasanii wakubwa na hawataki kumsaidia. Hivyo naye Chid Benz amesema kuwa; "Nimewasaidia wasanii wengi tuu hivyo kama wameshindwa kunisaidia mimi basi nitakapofariki wasaidie watoto wangu tena hata usimpe pikipiki sijuwi nini we mpe tuu chai na andazi au nusu andazi kwangu inatosha sana," amesema Chid Benz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live