Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkifikisha miaka 30 msichague mume

Wema Ip Wema Sepetu

Tue, 10 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wema Sepetu; ni staa mkubwa wa Bongo Movies ambaye yeye na wenzake waliofikisha umri wa miaka 30 na kuendelea wameshauriwa wasichague wanaume wa kuwaoa.

Wema Sepetu; ni staa mkubwa wa Bongo Movies ambaye yeye na wenzake waliofikisha umri wa miaka 30 na kuendelea wameshauriwa wasichague wanaume wa kuwaoa. Hii ni baada ya Wema mwenye umri wa miaka 33 kutoa vigezo vya mwanaume wa kumuoa ikiwemo kutonuka jasho na asiwe mfupi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live