Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mke wa Roma ashindwa kujizua, amtaka mumewe arudi

Roma Mkewe Mke wa Roma ashindwa kujizua, amtaka mumewe arudi

Thu, 6 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mke wa Rapa @roma_zimbabwe @mrs_roma2030, Kupitia ukurasa wake wa Instagram amemtaka rapa huyo ambae yupo Marekani Kurudi nchini Tanzania kwa Mashabiki zake wamemmiss.

Ikiwa leo ndoa yao imetimiza miaka 7 #Nancy ameandika; "Miaka 13 iliyopita nilikutana na uyu mwamba apaa akawaa Rafiki yng sana. Miaka 7 iliyopiaa tukaenda mbele ya kanisa na mbele ya mashaidi kuweka ahadi ya Kupendana adi milele aanze yeye au nianze mie Hatutoachana.

Natamani ningekuwa mzuri wa kuandikaa siku moja ningewaelezea history yetu kidogo naamini kuna ambao wangejifunza kitu kupitiaa sisii.????????????

@roma_zimbabwe happy 7th Anniversary shoga angu umejitahidi sana hongera ila sasa imetosha naambiwa nikuambie urudii mashabiki wamekumiss.

@staminashorwebwenzi nakusalimia shemeji"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live