Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mke wa Mwijaku apotezea ishu ya mumewe kuchepuka

Mke Wa Mwijaku Apotezea Ishu Ya Mumewe Kuchepuka Mke wa Mwijaku apotezea ishu ya mumewe kuchepuka

Fri, 13 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pamoja na Baba Levo kuvujisha picha ya Mwijaku akiwa na mwanamke mwengine na kumuandikia ujumbe ambao pengine ungeweza kuteteresha ndoa ya Mwijaku, mke wa Mwijaku Alice ameonekana kutojali kabisa kile alichokifanya Baba Levo.

Kupitia Instagram Akaunti yake Alice amemtaka mume wake ku-Focus zaidi kwenye kila kitu anachofanya bila kujali kelele za pembeni.

"Focus," aliandika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live