Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mke wa Momoa adai talaka

Momoaaaa Mke wa Momoa adai talaka

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mke wa muigizaji kutoka nchini Marekani Jason Momoa, Lisa Bonet ameomba talaka baada ya miaka miwili ya kutangaza kuachana.

Katika miaka miwili hiyo tangu watengane bila ya kupeana talaka walidai kuwa walichoka kuishi pamoja na kila mtu alitaka uhuru wake mwenyewe kutokana na ugomvi wa mara kwa mara katika familia yao.

Momoa na Bonet walifunga ndoa Oktoba 7,2017 na wamefanikiwa kupata watoto wawili Lola na Nakoa-Wolf ambao walipishana miaka miwili kuzaliwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live