Mke wa Mtangazaji wa CloudsFm Moj360, Meenah amefunguka kuwa anakerwa na maneno ambayo ameyatafsiri kuwa yanamchafua mume wake kutoka kwa EX wa Mojay, Gigy Money.
Meenah amesema kuwa amekuwa ni bora Gigy angekuwa anamtafuta Mojay moja kwa moja na sio kuwa analia vitu vya uongo mitandaoni.
"Unajua ukimzungumzia mtu kama Mama Mayra (Gigy) kama kuna kitu amekufanya MO kikamgusa ni bora amtafute moja kwa moja au awatafute ndugu zake na sio kuongea vitu vya kinafiki mitandaoni kumchafua ni mtu anayependa lolote limkute mume wangu mimi sipendi."
"Amekuwa akimuongelea mara ni muuaji, alikuwa alimpiga mpaka mimba ikaharibika sio vizuri amachafua na MO anategemea watu ni mwandishi wa habari kwa hiyo anavyo chafuliwa sio vizuri, familia nzima haipendi anachokifanya," alisemaq mke wa MoJay, Meerah.