Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mke wa Kiba amvaa Diamond 'amenikosea heshima'

Mke Wa Kiba Mke wa Kiba amvaa Diamond 'amenikosea heshima'

Tue, 1 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mke wa Staa wa Muziki @officialalikiba, @aileenalora ameamua kuvunja ukimya juu ya kauli ya Staa wa Muziki @diamondplatnumz alioitoa na kumuhusisha kuwa habari za yeye na #Amina #Alikiba anazijua kauli ambayo wengi wameitafsiri kama #Diamond aliwahi kutoka kimapenzi na Amina.

Mke wa Staa wa Muziki @officialalikiba, @aileenalora ameamua kuvunja ukimya juu ya kauli ya Staa wa Muziki @diamondplatnumz alioitoa na kumuhusisha kuwa habari za yeye na #Amina #Alikiba anazijua kauli ambayo wengi wameitafsiri kama #Diamond aliwahi kutoka kimapenzi na Amina. Kupitia insta story yake ameweka ujumbe akisema jambo ilo ni la kipuuzi huku akilaani vikali mtu kumkosea heshima Mwanamke bila heshima na kuonesha kushindwa kutofautisha Mwaname na mnyama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live