Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mke wa Ali Kiba aitaka Talaka yake

Ali Kiba Wife Mke wa Ali Kiba aitaka Talaka yake

Fri, 16 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kumbukumbu Zinaturidisha Kwenye Baadhi Ya Matukio Yanayomhusisha Msanii Wa Mziki @officialalikiba Na Mfanyabiashara @_.niffer._ Wakiwa Pamoja.

Hivi Karibuni Kuna Picha Na Video Zilizokuwa Zikisambaa Zikiwaonesha Wawili Hao Wakiwa Photoshoot Pamoja, Na Baada Ya Hapo Ilionekana Kama Kuna Kitu Kinaendelea.

Kutokana Na Matukio Ya Wawili Hao Kuendelea Kuonekana Pamoja Mke Wa Alikiba @aileenalora Ameandika Ujumbe Kupitia Insta Story Yake Na Kumtaka Ali kiba Ampe Talaka Yake Kwani Kwa Maelezo Yake Inaonesha Mwanamke Amechoshwa Na Vitendo Vya Alikiba Hivyo Anaitaka Talaka Ila Ila Inaonekana Kama Alikiba Anang'ang'ana Hataki Kuitoa.

Soma hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live