Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mke mkubwa amtia moyo Manara

Manara Na Rushaynah Mke mkubwa amtia moyo Manara

Wed, 11 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Haji Manara kuendelea kuweweseka kufuatia kuachwa na mke mdogo, mke mkubwa anayepambwa aibuka kumuomba mume huyo apige moyo konde na kuwa na kifua kipana

"Kila Kitu ni Subrah Nakuombea Subrah Mume wangu…Nakuombea Utulivu na Hekma kipenzi changu. Usijaribu kumjibu yoyote Kwanzia Sasa.

"Endelea kuwa na kifua kipana na hili litapita muda sio mrefu…Wewe ni Mwanamme Jasiri mno na ndio maana neno lako kwa kila anaekutukana unaniambia Tumuachie Mungu…Basi na hili Muachie Mungu Kuwa Kimya Endelea Na Majkum Yako Ya Kazi

"Yana Muda basi? Dunia hii hii ndio itaongea ukweli siku chache zijazo. Usijali abadan. Endelea Kujali Familia Yako Na mambo Yako tu. Acha Haya Yanayo Endelea Sasa Acha…Umesema Umejifunza Sasa Inatosha Fanya Vitendo Tu Mengine Muachie Allah.

"Nakupenda mno na nipo Kwa ajili yako leo na kesho yake My Husband ❤️❤️❤️ Haji Manara," ameandika Rubyna.

Ikumbukwe kuwa, Haji Manara alishaoa mara tano kwa nyakati tofauti huku ndoa nne zikiwa zimesambaratika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live