Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mke atumia Helikopta kumtorosha mumewe Gerezani

ExQkp EWQAYxsPM Mke atumia Helikopta kumtorosha mumewe Gerezani

Mon, 15 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwaka 1986, mwanamke mmoja wa kifaransa alisoma kwa miezi kadhaa jinsi ya kurusha helikopta.

Kwa kutumia ujuzi wake alioupata, alikodi helikopta nyeupe na kuruka nayo mpaka kwenye paa la gereza alilokuwa amefungwa mumewe jijini Paris na kufanikiwa kumtorosha.

Mume huyo Michel Vaujour alifungwa kwa kosa la wizi wa benki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live