Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mkali wakucheza na pikipiki Arusha,katuonyesha ufundi wake wakunyanyua pikipiki

MKAL TOYO 660x400 Mkali wakucheza na pikipiki Arusha,katuonyesha ufundi wake wakunyanyua pikipiki

Fri, 20 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Kutana na Kelvin Gabriel makazi yake ni Arus,ndoto yake ni siku moja ni kumiliki duka kubwa la pikipiki na kufanya mashindano ya pikipiki anasema alianza kushirtiki mashindano ya pikipiki mwaka 2015,kwenye mashindano ambayo yamefanyika october mwaka 2020 Arusha alishika namba nne.

Kutana na Kelvin Gabriel makazi yake ni Arus,ndoto yake ni siku moja ni kumiliki duka kubwa la pikipiki na kufanya mashindano ya pikipiki anasema alianza kushirtiki mashindano ya pikipiki mwaka 2015,kwenye mashindano ambayo yamefanyika october mwaka 2020 Arusha alishika namba nne. DOGO ANA MIAKA 13 LAKINI KAONGOZA KWENYE MASHINDANO YA PIKIPIKI ARUSHA “NIMEWACHAPA”

Chanzo: millardayo.com