Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkali wa Amapiano ‘Tyler ICU’ kutua Dar

Tyler Se Mkali wa Amapiano ‘Tyler ICU’ kutua Dar

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano.

Sasa Good news ninayotaka kukupatia ni kwamba Mtayarishaji na mchezea santuli ‘Dj’ Tyler ICU anatarajiwa kuwaburudisha watanzania watakaofika Elements Masaki Ijumaa hii Julai 14, 2023.

Tyler ICU kwasasa anatamba na kibao kiitwacho Mnike ambacho amewashirikisha mastaa mbalimbali wakiwemo Tumelo.za, Dj Maphorisa, Nandipha808, Ceeka RSA & Tyron Dee.

Ijumaa mahali penye burudani kubwa kuliko ni Elements Masaki Bar mjulishe na mwenzako.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live